test

Jumamosi, 3 Septemba 2016

VIDEO: Aunt Ezekiel akicheza Vigoma kwenye Harusi ya Shamsa Ford


Ni September 2, 2016 ambapo mwigizaji wa filamu, Shamsa Ford aliziandika headlines baada ya kufunguka ndoa na mchumba wake mpya aitwae Rashid, sasa miongoni mwa burudani zilizotolewa ni pamoja na hii kutoka kwa Aunt Ezekiel aliungana na marafiki zake kucheza Vigoma.
Itazame hii video hapa uone jinsi ilivyokuwa

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx