test

Jumamosi, 24 Septemba 2016

Shilole Asema Chupu Chup Awe Salome Kwenye Video ya Diamond...Adai Ingepata Views Mil 2 Ndani ya Siku Mbili


Mwanadada mwenye mvuto kupita wote ndani ya gemu ya maburudani Afrika Mashariki na Kati ameendelea kugonga headlines za vyombo vya habari baada ya kusema Diamond platnumzs alitaka yeye ndio AWE video Queen wa nyimbo ya Salome na walikubaliana kabisa....
Sema siku ya kushoot alipata dharura hivyo nafasi yake akamwachia hamisa mobeto.... Ila anaamini hangekuwa yeye ndio video Queen basi video hiyo ya Salome ingepata views milioni 2 ndani ya siku mbili

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx