test

Jumamosi, 24 Septemba 2016

Kwa haya machache, hongera Rais Magufuli



NI takribani miezi 9 tangu ulipochukua hatamu ya uongozi wa nchi hii lakini ndani ya hicho kipindi kifupi tu tayari kuna mambo kadhaa yamefanyika tena kwa kiwango cha kuridhisha
Mambo hayo kwa ufupi ni kama haya yafutayo;

- Utekelezaji wa ahadi ya Elimu bure
- Hali ya mfumuko wa bei kuwa kawada
- Shilingi kubaki stable dhidi ya dollar
- Jitihada za wazi za kulifufua shirika la ndege la taifa ATCL
- TTCL kupewa uhai mpya na jitihada za wazi za kulifanya lirudi katika ushindani
- Utatuzi wa kero ya upungufu wa madawati (mpaka sasa JKT na magereza wanakamilisha zoezi la utengenezwaji wake)
- Mapato ya ndani kuchangia asilimia kubwa ya bajeti yetu
- Maboresho makubwa katika sekta ya mahakama (uanzishwaji wa mahakama ya mafisadi n.k)
- Kuongeza uwazi na uwajibikaji wa sekta za umma kwa wananchi
- Kuwaamini vijana na kuwapa nafasi kubwa 

katika teuzi zako i.e Makonda,sapi,Hudson,polepole,waryoba n k
- Jitihada za wazi juu ya Ujenzi wa reli ya kati kwa standard gauge (upembuzi yakinifu tayari)
- Mageuzi makubwa katika sekta ya Elimu

Na mengine mengi

Itaendelea..

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx