August 26 2016 kumeripotiwa kuwepo kwa mapigano ya risasi baina ya Askari Polisi na majambazi waliokuwa wamejificha katika Wilaya ya Mkuranga, Pwani. Hii ni headline baada ya kuuawa kwa askari wanne katika shabulio lililotokea usiku wa August 23 2016 Mbande Dar es salaam.
Ayo TV imekutana na baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo ambao wahashare na sisi kilichotokea ikiwa bado tunasubiri kupata uthibitisho kutoka Jeshi la Polisi ambao hadi sasa hawajawa tayari kulizungumzia.