Majambazi ambao idadi yao haijajulikana wanadaiwa kuuwawa katika mapigano hayo kati yao na polisi huko Vikindu, wilaya ya Mkuranga leo.
Habari zilizotufikia hivi punde, zinaeleza kuwa mpaka sasa magari ya polisi yanaonekana yakiingia na kutoka katika eneo la tukio Vikindu kwenye nyumba walimojificha.
ENDELEA KUTUFUATILIA KWA TAARIFA KAMILI