Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akionyesha mfano wa funguo kwa umati wa wananchi wa Singida, waliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Peoples, Mjini humo jana Septemba 12, 2015.
Mwanasheria wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Tundu Lissu akimuonyesha Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, mfano wa funguo wenye ujumbe, aliopewa na
wananchi wa Singida, wakati wa Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye
Uwanja wa Peoples, Mjini humo jana Septemba 12, 2015.
0 comments:
Chapisha Maoni