Skip to content
First Lady wa Madale, Zari The Bosslady ametupa tena jiwe gizani.
Awamu hii ni kwa mwanamke ‘fumbo’ ambaye anadai aliacha heleni zake
katika chumba chake – hajasema ni kipi lakini ni wazi ni chumba cha
Diamond, Madale kwakuwa yupo mjini.
Posts hizo za Zari zinaendelea kuziongeza nguvu tetesi za muda mrefu za
usaliti katika uhusiano wao na huenda ameamua kuzoea na kuamua kupigania
tu nafasi yake. Ujumbe wake una mafumbo na madongo mengi lakini ni wazi
kuwa amani itakuwa imechafuka kidogo kwa couple hiyo yenye nguvu Afrika
Mashariki...Huku Instagram Wadau wanadai Hereni hizo ni za Hamissa
Mobeto kwa kuunganisha picha ambazo Hamissa anaonekana kuvaa hereni
zinazofanana na hizo
Hivi Hapa Vijembe vya Zari kwa Mwanamke Huyo:
Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi
xxxxxxxxxxxxx