Ruby amefahamika na kujipatia sifa kede kede kwa wimbo wake Na Yule na pia kwa uwezo wake wa kipekee wa kuimba live.
Tumezungumza na msanii huyo kutaka kujua anajitofautisha vipi na wasanii wengine wa kike nchini.
“Tofauti yangu ya kwanza I do love music first, muziki ambao mimi nimeukuta huku sio live kwanza, mwingi ni playback,” Ruby Amesema.
“Mimi napenda kufanya live music na nimekulia katika live music sijakulia katika muziki wa kutumia CD.
Halafu I am very unique pia kwasababu mimi ni Ruby hakuna Ruby mwingine kwenye hii industry,” Aliongeza.
Ruby amesema wimbo wake mpya unaitwa Sijutii na utatoka hivi karibuni.

0 comments:
Chapisha Maoni