test

Jumanne, 23 Juni 2015

BREAKING NEWS!! HALI SI SHWARI DAR...!!! BAADA YA MASHABIKI WA KIBA , KUMFUATA, DIAMOND BAADA YA DIAMOND PLATINUMS AMTUKANA ALI KIBA KWENYE MTANDAO...


Wema aliposimulia mazito juu ya Diamond
WEMA AFUNGUKA KUHUSU MTOTO NA DIAMOND, UJAUZITO WA ZARI NA MIMBA ALIYOTOA. ( VIDEO )

Mahojiano na mwigizaji Wema Sepetu kwenye TV show ya TAKE ONE CloudsTV na Zamaradi Mketema yalimalizika kwa hiki kipisi cha dakika 15 Wema
akielezea mengi ya moyoni ikiwemo ya kupata mtoto na Diamond, Ujauzito wa Zari na mimba aliyowahi kuitoa.-
baada ya alikiba kutangaza vita na diamond
ALI KIBA ATANGAZA VITA NA DIAMOND! AFUNGUKA MAZITO! A-Z IPO HAPA MDAU...
Staa wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba.
VITA! Saa chache tu baada ya kutua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar akitokea nchini Marekani kwa shughuli za kimuziki, staa wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ametangaza kile kinachotafsirika kuwa ni vita dhidi ya hasimu wake kwenye anga la muziki huo, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Ijumaa Wikienda lina ‘full’ stori.
Ali Kiba alitema cheche Alhamisi ya wiki iliyopita ndani ya Hoteli ya Sea Cliff, Masaki jijini Dar, kulikokuwa na uzinduzi wa kampeni ya kupinga vita ujangili, iliyoratibiwa na Wizara ya Maliasili na Utalii, huku akiwa ni mmoja wa mabalozi sanjari na mlimbwende wa zamani, Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi ‘K-Lyin’.
Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz.

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx

0 comments:

Chapisha Maoni