Nini kimewakumba wanawake wa Venezuela mpaka wafikie hatua ya kutangaza uchi kwenye TV ?
Siku chache kabla ya kuanza kwa Copa America 2015, watangazaji 8 wa kike wa nchi ya Venezuela walitengeneza video wakiwa uchi wakidai kuwasapoti wachezaji wa timu ya taifa kuelekea michuano hiyo.
Venezuel wameandika rekodi ya kushangaza baada ya kuichapa 1-0 Colombia kwenye mechi ya ufunguzi ya Copa America.
Katika kushangilia matokeo hayo, mwanamke mmoja Mtangazaji wa TV, Yuvi Pallares, aliamua kuripoti matokeo ya mechi hiyo akiwa mtupu.
0 comments:
Chapisha Maoni