Polisi wakijaribu kumnusuru kijana huyu.....
Dakika
Mbili za kipigo kwake zilikuwa ni ngumu sana, Ni muda mchache lkn
maumivu yake ni zaidi ya miezi mitatu......... Tukio hili limetoke muda
mchache uliopita nnje ya ofisi ya Star times mkabala na Benk ya NMB
Dodoma,
0 comments:
Chapisha Maoni