test

Alhamisi, 8 Septemba 2016

MKUU WA MKOA MH MAKONDA AKANUSHA KUTUMA ASKARI KUKAMATA WATU WANAOLALA MCHANA GUEST


Akihojiwa kwenye kipindi cha Pb Clouds amesema hajawahi kutoa maagizo kama hayo, kinachofanyika ni Umbeya umbeya tu.

"Mimi kama Mwenyekiti wa ulinzi Na usalama siwezi kutoa maagizo kama haya, kuna watu wanafanya kazi viwandani wengine usiku hivyo wanahitaji kupumzika mchana huwezi kuwazuia"

Kinachofanyika ni Umbeya, siwezi kujibu hoja za kimbeya ni ujinga ....alimaliza Mh Makonda.!

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx