test

Ijumaa, 19 Juni 2015

UNAMKUMBUKA ROTIMI MDOGO WAKE ADEBAYOR…AMEJARIBU KUJIUA KISA NI HIKI HAPA.


ROTIMI
Rotimi Adebayor ambae kutokana na story za kaka yake SEA ni kwamba huyu jamaa ni kibaka mzoefu tangu yupo mdogo ambapo alianza kwa kumuibia mama yake kidani ambacho alinunuliwa na Adebayor.
Sasa baada ya Ade kumuanika wazi kwenye mitandao ya kijamii kuhusu tabia yake ya wizi ambapo amehusika kumuibia vitu mbalimbali kaka yake pamoja na watu wengine.
Sasa habari ni kwamba Rotimi amejaribu kujiua baada ya aibu aliyoipata kutoka kwa watu mbalimbali baada ya kaka yake kumuanika kwa tabia yake. Source ya karibu na familia imesema kwamba Rotimi alikua na msongo wa mawazo baada ya kuanikwa na kama yake mbele ya dunia nzima. Basi akajaribu kujiua kwa kwa kutumia kitu chenye ncha kali lakini aliokolewa na kukimbizwa hospitali ambapo anaendelea na matibabu hadi sasa hivi.

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx

0 comments:

Chapisha Maoni