Mimi ni mume wa mke mmoja na watoto wanne. Hivi karibuni tumepata
housegirl mpya kutoka Singida, amemaliza form four hakubahatika
kuendelea na masomo kwa sababu ya kukosa sifa za shule za serikali.
Ni
mzuri wa kawaida, yaani hana muonekano ule wa mahousegirl-naamaanisha
muonekano choka mbaya kweli anafaa hata kuwa mke wa mtu.
Katika historia
yangu sijawahi hata siku moja kutembea na housegirl na mpaka sasa
nishaajiri hao h/girl si chini ya 6, huwa niko very serious na sitaki
mazoea nao hata kidogo.
Huyu amekuja naona anataka kuniangusha katika msimamo wangu huu. Siku ya
kwanza kutambulishwa kwake alionekana kushituka sana ingawa na mimi kwa
ndani nilimkubali kuwa mzuri.
Maisha yakaendelea na siku zikafunguka.
Sasa toka siku hiyo amekuwa anakosa sana confidence(Ujasiri) ninapokuwa
nyumbani, mara atajikwaa, mara ataogopa kuja mbele yangu n.k
Mbaya zaidi ninapokuwa peke yangu mfano wengine wapo mbali ananichangamkia sana na kutabasamu muda wote kila nitakalooongea yeye anatabasamu hata kama si la kufurahisha.
Nikimtuma kitu ataniletea wakati napokea anainua kichwa kuniangalia kiuchokozi halafu anatabasamu, basi na mimi nikawa natabasamu.
Mbaya zaidi ninapokuwa peke yangu mfano wengine wapo mbali ananichangamkia sana na kutabasamu muda wote kila nitakalooongea yeye anatabasamu hata kama si la kufurahisha.
Nikimtuma kitu ataniletea wakati napokea anainua kichwa kuniangalia kiuchokozi halafu anatabasamu, basi na mimi nikawa natabasamu.
Ikitokea labda nimerudi nyumbani na nahitaji chakula mapema
atanipikia vizuri sana wakati mwingine anongeza kitu ambacho
hakikupangwa kwenye ratiba ya chakula cha siku hiyo, anaweza kunkaangia
mayai au akachemsha chai ya maziwa akaweka na viuongo haraka haraka na
kunipatia chakula.
Tatizo, mke wangu keshashitukia hizo nyendo zake, amekuwa kila mara
ananiuliza kuhusu mtu huyu, anasema mbona fulani ukiwepo anakuwa hana
confidence nikamwambia mi sijui embu muulize alipomuuliza akamjibu wife
kuwa eti ananiogopa kwa sababu aliambiwa na mlinzi mi ni mkali sana
achunge asinikorofishe.
Lakini ukiangalia mapozi yake kwangu si ya mtu
anayemuogopa. Siki hizi ameongeza zaidi, kunisalimia/kuniamkia kwake
imekuwa ngumu sana ni mara moja moja sana.
Mi kwa ujumla ni mtu nisiyejali
vitu vidogo vidogo na nilichojaribu kufanya ni kuwa mbali nae,
nimeongeza kuwa serious, na wakati mwingine nakuwa mkali ninapoongea
nae ili awe mbali nami au afute hicho anachofikiri au kukitafuta, Lakini nahisi ananitafuta ubaya.
Nimfanyeje? au nifanye lakini nahisi kujidhalilisha kwa mah/girl!
0 comments:
Chapisha Maoni