Super model ambaye yupo gerezani kwa sasa kutokana na ishu ya kukamatwa na madawa ya kulevyia nchini China Jack Patric .
Awali
mwana dada huyo aliwahi kuwa na mahusiano yakimapenzi na mwanamuziki wa
bongo fleva Juma Jux ,lakini baada ya mwanadada huyo kutupwa garezani
kwa miaka kumi ,Jux ameamua kunzisha mahusiano na Vanessa Mdee huku
wakiwa wanaponda raha za kufa mtu. .
Awali
jux alinukuliwa na kituo kimoja cha redio kuwa hatakama mpenzi wake
Jack yupo jela ila bado atalilinda penzi lao mpaka akaamua kumtungia
nyimbo ‘’Nitasubiri’’
Je,
Jux ameamua kumsaliti Jack nakuwa na Vanessa au kaona soo kuwa na Jack
kisa kapatwa na skendo hiyo??? Jack akitoka jela atakuwa ana nanafasi
gani kwa jux au Vanessa atapigwa chini ???
Jack
awalii aliwahi kuolewa na mwanume afahamikaye kwa jina la Fundikila
lakini ndoa yao ilivunjika kutokana na mwana dada huyo kumsaliti
mumewe kwa Jux hadi kupelekea kila mtu kushika time yake .
Je kwa hali ya kawaida Jux ameonyesha kutokuwa mvumilivu nakuvunja ahadi au yupo na Vanessa kwa short time ???
0 comments:
Chapisha Maoni