Mimi ni Kijana wa miaka 25 ninafanya kazi bank moja hapa Mjini
..nimefikia umri wa kutafuta mchumba wa kuoa ila hawa mabinti sijui
wakoje kila ninaye mtongoza haipiti siku ananiomba hela kwa visingizio
mbali mbali na mimi demu akishaniomba hela design hii hapo hapo naona
sio namuona kimeo ndio wale wale ....
Kwani Mapenzi siku hizi lazima usambaze Hela kwanza ndio upendwe ama?
0 comments:
Chapisha Maoni