Rais
John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya
ya Mpwapwa Mohamed Maje kuanzia leo kwa kilichoelezwa kushindwa kutimiza
majukumu yake.
Taarifa
iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Tamisemi Mussa Iyombe inasema Maje
amesababishia hasara serikali ikiwamo kushindwa hata kukusanya mapato ya
serikali.
"Hata
makusanyo ya mwaka huu hatuhjui anapeleka wapi hadi leo amekusanya
asilimia 24 tu katika halmashari ya kongwa na Mpwapwa licha ya kuwa na
vyazo vingi vya mapato.
Iyombe amesema Mkurugebnzi huyo kwa sasa yupo chini ya uchunguzi.
0 comments:
Chapisha Maoni