Leo
April 22, 2018 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi,
Humphrey Polepole amewataka baadhi ya watu wanaokaa kutuhumu kuwa Rais
amelisababishia Taifa hasara kuacha kwani wakiomba wathibitishe wengi
husema ulikuwa ni mjadala Twitter.
Kupitia
ukurasa wake wa Twitter Polepole ameandika “Ukimtuhumu Rais
amelisababishia hasara Taifa ukaombwa uthibitishe utaweza au utasema
yalikuwa tu majadiliano ya twita baada ya chakula cha mchana?”
“Huko
barabarani defamation ni kosa kubwa, lakini mbona mnataka viongozi wetu
wadhalilishwe kisha tukae kimya, kaanze kumtukana babako” -Polepole



0 comments:
Chapisha Maoni