Baada
ya watu mbalimbali kutoa maoni yao juu ya kuitwa kwa Askofu Kakobe na
idara ya Uhamiaji kuhojiwa Uraia wake, Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM
Humphrey Polepole ameandika yafuatayo kwenye ukurasa wake wa Twitter;
“Mbona kuhojiwa jambo la kawaida? baadhi ya watu wanajenga tabia ya
hovyo sana”
“Watu
“wakubwa” wakiitwa kuhojiwa inaonekana kitu cha ajabu. Mbona huku
mtaani kuhojiwa Polisi ni kitu cha kawaida tu, tuanze kuzoea na hasa ktk
awamu ya 5 kwamba, na tunasisitiza binadamu wote ni sawa”



0 comments:
Chapisha Maoni