test

Alhamisi, 26 Aprili 2018

Breaking News: Rais Magufuli Atoa Msamaha Kwa Wafungwa 3319


Rais Magufuli  katika kuadhimisha Miaka 54 ya Muungano wa Tanzania ametoa msamaha kwa wafungwa 3,319 ambapo wafungwa 585 wataachiwa huru leo, na 2,734 wamepunguziwa adhabu zao.

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx

0 comments:

Chapisha Maoni