Wimbo wa African Beauty unapatikana kwenye albamu ya Diamond, A Boy From Tandale ambayo ilitokoa mwaka huu na kuzinduliwa nchini Kenya na Omaria ailihudhuria pia.
Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Twitter ameandika ameweka chart inayoonyesha ngoma hiyo ikiongoza katika chart ya iTunes nchini Kenya kisha kum-tang Diamond Platnumz.
Soma Pia; Diamond na Omarion waacha historia kwenye uzinduzi wa A Boy From Tandale
Ngoma ya African Beauty imetayarishwa na producer Chris Alvin Sunday maarufu ka jina la Krizbeatz kutoka nchini Nigeria. Krizbeatz tayari ameshatengeneza hits kibao kama ‘Pana’ na ‘Diana’ zote za Tekno, ‘Weekend Vibes’ ya Seyi Shay na nyinginezo.

0 comments:
Chapisha Maoni