Tume
ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imesema kuwa imefanya uhakiki wa vyuo
vyote vya elimu ya juu nchini ili kuhakiki ubora wa elimu inayotolewa
vyuoni hapo, ripoti ya uhakiki huo ilionyesha mapungufu kadhaa katika
baadhi vyuo.
Hivyo
tume imeamua kuchukua uamuzi wa kusitisha udahili wa wanafunzi wa mwaka
wa kwanza kwa mwaka wa masomo 2017/18 kwa vyuo hivyo.
Aidha, Tume hiyo imevitaja vyuo hivyo kuwa ni pamoja na:
- Eckenforde Tanga University
- Jomo Kenyatta University, Arusha
- Kenyatta University, Arusha
- United African University of Tanzania
- International Medical and Technological University (IMTU)
- University of Bagamoyo
- Francis University College of Health and Allied Sciences
- Archibishop James University College
- Archibishop Mihayo University College
- Cardinal Rugambwa Memorial University College
- Kampala International University Dsm College
- Marian University College
- Johns University of Tanzania Msalato Centre
- Johns University of Tanzania, Marks Centre
- Joseph University College of Engineering and Technology
- Teofilo Kisanji University
- Teofilo Kisanji University Tabora Centre
- Tumaini University, Mbeya Centre
- Kilimanjaro Christian Medical University College (KCMCo)
Aidha,
kutokana na mapungufu hayo katika vyuo mbalimbali imeamriwa kuwa jumla
ya programu 75 kutoka vyuo 22 nchini zimesitishwa kudahili wanafunzi wa
mwaka wa kwanza kwa mwaka wa masomo 2017/18.
0 comments:
Chapisha Maoni