test

Jumatano, 17 Mei 2017

Serikali inatarajia kuwapandisha madaraja watumishi laki moja na elfu-tisini na tatu mwaka ujao.


Image may contain: 1 person, sitting
Serikali inatarajia kuwapandisha madaraja watumishi laki moja na elfu-tisini na tatu mwaka ujao.
Akijibu swali bungeni mjini Dodoma, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angella Kairuki amesema hatua hiyo inachukuliwa kufuatia zoezi hilo kusitishwa kwa muda mwaka huu na kwamba tayari utaratibu wakushughulikia suala hilo umeandaliwa.

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx

0 comments:

Chapisha Maoni