test

Jumatano, 17 Mei 2017

Idara ya afya mkoani Rukwa imeanza kuchukua hatua za kuzuia maambukizo ya ugonjwa wa Ebola


Image may contain: one or more people, people standing and outdoor
Idara ya afya mkoani Rukwa imeanza kuchukua hatua za kuzuia maambukizo ya ugonjwa wa Ebola, unaidaiwa kuibuka katika moja ya nchi jirani na kupiga marufuku shughuli za mazishi ya watu waliokufa bila maelezo ya kitabibu juu ya vifo vyao.

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx

0 comments:

Chapisha Maoni