test

Jumanne, 30 Mei 2017

Mwili wa Mwanahabari nguli nchini Chrysostom Rweyemamu aliyefariki dunia juzi Jumamosi waagwa leo



Mwili wa Mwanahabari nguli nchini Chrysostom Rweyemamu aliyefariki dunia juzi Jumamosi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es salaam umeagwa leo kwa kusafirishwa kwenda Muleba Mkoani Kagera kwa mazishi.

Mwili wa Marehemu Rweyemamu umeagwa Mbweni katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Raphael na kuhudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo wanahabari kutoka vyombo mbalimbali vya habari.

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx

0 comments:

Chapisha Maoni