Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk.Tulia Ackson akiongoza kikao cha
Ishirini na nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei
18, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Watu wenye Ulemavu Mhe.Jenista
Mhagama akizungumza jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais
Mazingira na Muungano Mhe.January Makamba katika kikao cha Ishirini na
nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 18, 2017.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango
Mhe.Dk.Ashatu Kijaji akifafanua jambo katika kikao cha Ishirini na nane
cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 18, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa
Rais Mazingira na Muungano Mhe.January Makamba akijibu maswali
mbalimbali ya wabunge katika kikao cha Ishirini na nane cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 18, 2017.
Naibu Waziri wa
Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Anastazia Wambura akijibu maswali
mbalimbali ya wabunge katika kikao cha Ishirini na nane cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 18, 2017.
Naibu Waziri wa Elimu,Sayansi na
Teknolojia Mhe.Eng.Stella Manyanya akijibu maswali mbalimbali ya wabunge
katika kikao cha Ishirini na nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11
leo Mjini Dodoma Mei 18, 2017.
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa
na Michezo Mhe.Dk Harrison Mwakyembe akijibu maswali mbalimbali ya
wabunge katika kikao cha Ishirini na nane cha Mkutano wa saba wa Bunge
la 11 leo Mjini Dodoma Mei 18, 2017.
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa
na Michezo Mhe.Dk Harrison Mwakyembe akizungumza jambo na Naibu wake
Mhe.Anastazia Wambura katika kikao cha Ishirini na nane cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 18, 2017.
Naibu Waziri wa Afya ,Maendeleo
ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto akijibu maswali mbalimbali ya wabunge
katika kikao cha Ishirini na nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11
leo Mjini Dodoma Mei 18, 2017.
0 comments:
Chapisha Maoni