Naibu
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk.Tulia
Ackson akiongoza kikao cha Ishirini na Saba cha Mkutano wa saba wa
Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16, 2017.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dk.Ashatu Kijaji akifafanua jambo katika kikao cha Ishirini na Saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16, 2017.
Waziri wa Nishati na Madini Mhe.Prof Sospeter Muhongo akizungumza jambo na Naibu Waziri wake Mhe.Dk. Medard kalemani katika kikao cha Ishirini na Saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16, 2017.
Mbunge
wa Viti Maalum (CCM) Mhe.Zaynab Vullu akiuliza swali katika kikao cha
Ishirini na Saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei
16, 2017.
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akizungumza jambo na Mbunge wa Mtama Mhe.Nape Nnauye katika kikao cha Ishirini na Saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16, 2017.
Naibu
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe.Selemani Jafo akijibu
maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha Ishirini na Saba cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16, 2017.
Mbunge
wa Kuteuliwa Mhe.Abdallah Bulembo akiuliza swali katika kikao cha
Ishirini na Saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei
16, 2017.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe.George Simbachawene akijibu maswali
mbalimbali ya wabunge katika kikao cha Ishirini na Saba cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16, 2017.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais- Utumishi na Utawala Bora Mhe.Angellah Kairuki
akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha Ishirini na Saba
cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16, 2017.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Watu wenye
Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akizungumza jambo na Waziri wa Nchi Ofisi
ya Rais- Utumishi na Utawala Bora Mhe.Angellah Kairuki leo katika
viwanja vya Bunge Mjini Dodoma.
Waziri
wa Mambo ya Ndani Mhe.Mwigulu Nchemba akijibu maswali mbalimbali ya
wabunge katika kikao cha Ishirini na Saba cha Mkutano wa saba wa Bunge
la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16, 2017.
Waziri
Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akimskiliza Mbunge wa Mwibara Mhe.Kangi
Lugora katika viwanja vya Bunge leo Mjini Dodoma.Wengine Pichani ni
Mbunge wa Mtama Mhe.Nnape Nnauye
Naibu
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Isack Kamwelwe akifafanua jambo
katika kikao cha Ishirini na Saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11
leo Mjini Dodoma Mei 16, 2017.
Waziri
wa Mambo ya Ndani Mhe.Mwigulu Nchemba akizungumza jambo na Waziri wa
Ulinzi na JKT Mhe.Dk Hussein Mwinyi,Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo
ya Makazi Mhe.William Lukuvi na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Prof
Jumanne Magembe katika kikao cha Ishirini na Saba cha Mkutano wa saba
wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16, 2017.
Mbunge
wa Viti Maalum(CCM) Mhe.Mary Mwanjelwa akiuliza swali katika kikao cha
Ishirini na Saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma
Mei 16, 2017
Mbunge
wa Sikonge(CCM) Mhe.Joseph Kakunda akiuliza swali katika kikao cha
Ishirini na Saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei
16, 2017.
Waziri
wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji Mhe.Charles Mwijage akisoma Hotuba ya
Mapato na Matumizi ya Wizara yake kwa Mwaka wa Fedha 2017/18 leo katika
kikao cha Ishirini na Saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini
Dodoma Mei 16, 2017.
Picha Zote na
Daudi Manongi- Dodoma MAELEZO, DODOMA
0 comments:
Chapisha Maoni