Diamond athibitisha kuwa atahudhuria katika mazishi ya Ivan Ssemwanga ambaye alikuwa mzazi mwenzake na Zari The Bosslady.
Muimbaji huyo amesema hayo mbele ya wanafunzi wa Chuo kikuu cha Nairobi,
katika kipindi cha The Trend kilichokuwa kinaruka moja kwa moja kupitia
runinga ya NTV.
“Kiukweli umekuwa wakati mgumu na mpaka sasa umekuwa wakati mgumu,
nilikuwa nipo booked muda kidogo kuhusiana na msiba umetokea, sasa
kucancel to ghafla show ya watu unajua inawezekana ukapata twasira
tofauti, wengine wakachukulia tofauti sikuwa na jinsi.Lakini niliongea
na mzazi mwenzangu akanielewa lakini nikimaliza hapa show nitaenda
Uganda kwa sababu ya mazishi na baada ya hapo ndio nitarudi nyumbani,”
amesema Diamond
0 comments:
Chapisha Maoni