#BreakingNews
Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli afanya ziara ya kushitukiza ndani
ya Shirika la Utangazaji Tanzania TBC, Ofisi za Mikocheni Jijini Dar es
salaam, kwa sasa anazungumza na wafanyakazi wa shirika hilo ambapo
amesisitiza moyo wa uwajibikaji ndani ya shirika hilo. Taarifa zaidi
tunakuletea hivi punde.
Majina ya Blog Zinazoanzia na Herufi I
Miaka 11 iliyopita
0 comments:
Chapisha Maoni