test

Alhamisi, 23 Machi 2017

VIDEO: Nape Nnauye Akiongea Kwa Uchungu Baada ya Mkutano wake Kuzuiwa na Kisha Kutishwa kwa Bunduki


Aliyekuwa Waziri wa Habari,  Nape Nnauye amezungumza na Waandishi wa habari akiwa juu ya gari lake leo maeneo ya St. Peter Osterbay Dar es salaam  ikiwa ni saa chache baada ya taarifa kutoka Ikulu kutangaza kwamba uteuzi wake umetenguliwa.


Hali hiyo imetokana na Jeshi la Polisi kuuzuia mkutano huo ambapo RPC Kinondoni alifunga barabara kwa gari huku Nape akitishwa kwa Bunduki.

==>Msikilize hapo chini akiongea

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx