Kupotea
kwa moja kati ya vijana machachari wa mitandaoni kutoka chama cha
Democrasia na maendeleo Chadema Ben Saa nane kumeendelea kuzua Gumzo
Nchini Tanzania ambapo leo Mwanasheria wa Chama hicho Mh Tundu Lisu
ameibuka na kudai kuwa ana ujumbe wa simu wa Vitisho wa mwisho ambao Ben
Alitumiwa,Usikie hapa kwenye Video