==
Kamanda wa polisi mkoa wa Pwani Boneventura Mushongi amesema uchunguzi wa awali unaonyesha miili hiyo huenda ni ya wahamiaji haramu kwa kuwa hajajitokeza mtu yeyote nchini kudai kupotelewa na ndugu ambaye anahisiwa ni miongoni mwa waliofariki dunia.
Na waliwakamata wahamiaji haramu 81 hivi karibuni ambao walikuwa katika hali mbaya kiafya kuonyesha walitelekezwa.
Chanzo: Nipashe.
Tukiwa na subira na hili jambo tutapata ukweli.