Siku hizi watu wengi wanatumia simu za mkononi kila wakati na kila mahali.
Kampuni ya Thanko ya Japan imesanifu mto
unaojazwa hewa ambao unaweza kukusaidia kushika simu yako ya mkononi,
mto huo pia una mfuko unaozuia maji yasiiingie ndani, hivyo hata
unapooga, unaweza kuendelea kutumia simu yako.