Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Hassan Suluhu
akikata utepe kama ishara ya kuzindua Makati wa Taifa Dhidi ya Rushwa
na Mpango wa Utekelezaji Awamu ya Tatu, kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi
ya Rais utumishi na Utawala Bora Mhe. Angela Kairuki akishuhudia zoezi hilo pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Bw. Valentino Mlowola.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Hassan Suluhu
akihutubia watumishi na wananchi wakati wa kilele cha Maadhimisho ya
siku ya maadaili na haki za binadamu zilizofanyika kwenye viwanja vya
Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam
Makatibu
Wakuu wa Wizara mbali mbali pamoja na viongozi wa Dini wakifuatilia kwa
makini hotuba ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan wakati akihutubia kwenye Kilele Cha Maadhimisho ya
siku ya Maadili na Haki za Binadamu.