test

Jumatano, 14 Desemba 2016

Bwana harusi na bibi harusi wazirai kanisani muda mchache kabla ya ndoa yao


Maharusi waliopatwa na mkasa huo ni Yohana Mohammed na Rose Sembeye.
Kitendo cha mzazi wa Yohana kuweka pingamizi kilisababisha maharusi wote wawili kupoteza fahamu, na licha ya harusi kutofungwa, wawili hao waliamua kwenda ukumbini kuungana na waalikwa saa 11:00 jioni wakitokea hospitalini ambako walikuwa wamepumzishwa.

Source: Mwananchi

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx