Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kupitia idara ya Uhamiaji imekamilisha zoezi la Ajira za askari na Maafisa 297 waliohitimu mafunzo yao ya awali ya Uhamiaji mwezi June 2016 ambapo askari na maofisa 181 walianza kupata mishahara yao Mwezi Octoba 2016 na waliobaki 116 watapata mishahara yao Mwezi Novemba 2016 baada ya taratibu zote za ajira kukamilika.
Majina ya Blog Zinazoanzia na Herufi I
Miaka 11 iliyopita