MKUU mkoa wa Dar es Salaam amewataja watu ambao huenda kwa namna moja au nyengine watamchua na yeye.
maadui hao ni mashoga, wala rushwa, watendaji wazembe , wauza shisha na watu ambao wanaenda kinyume na haki.
hapa makonda ameweka wazi kuwa hawezi kuwavumilia wafanyakazi mizigo na kwamba kuna utaratibu utakowaondoa watumishi mizigo