Ameendelea kusema kuwa chama kilichopata usajili kina haki ya kufanya mikutano mahali popote isipokuwa baadhi ya maeneo machache kama kambi za wakimbizi, kambi za jeshi au polisi, na kuuliza kuna vyama kama TLP na DP ambavyo havina hata diwani hawataweza kufanya mikutano ili hali vyama hivyo vimesajiliwa
SIKILIZA VIDEO HAPA