MSTAHIKA meya wa jiji la Arusha Kalisti Lazoro akubali na kupungeza utendaji wa mteuzi wa Rais John Magufuli Mkurugenzi wa Jiji hilo Athumani Kihamia.
Meya huyo ameridhiswa na majibu ya mkurugenzi huyo ambayo yalikuwa yanamantiki.
Meya Lazoro amethibitisha hayo leo katika Kikao cha Baraza la Madiwani Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha Mhe. Kalisti Lazaro Bukhay amempongeza Mkurugenzi Kahama na Menejiment ya Manspaa hiyo kwa kujibu vyema hoja Za kamati ya Bunge ya Hesabu Za Serikali Za Mitaa.
Lazaro alichaguliwa kuwa Mstahiki meya wa Jiji Hilo kupitia Tiketi ya chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).