test

Alhamisi, 13 Oktoba 2016

Diwani wa Chadema akamatwa na gobole na bangi Rukwa


Diwani huyo amekamatwa na silaha aina ya Gobole pamoja na bangi katika duka lake huko Rukwa.

Kamanda wa polisi mkoa wa Rukwa amewaasa wanasiasa kutotumia vyeo vyao kujihusisha na vitendo vya uhalifu.

Chanzo: Azam news.

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx