test

Jumatano, 21 Septemba 2016

TETEMEKO: SHULE YA SEKONDARI YA IHUNGO YAANZA KUFANYIWA UKARABATI



 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Tamisemi  Mhe.George Simba Chawene akizungumza jambo na Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako mara baada ya ya kutembelea shule ya sekondari ya Ihungo ambayo imeathiriwa vibaya na Tetemeko la Ardhi.
 Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mhe.Jenista Mhagama akizungumza na wahandishi wa habari kuhusu hatua ambayo serikali imechukua kusaidia ukarabati wa shule ya Ihungo ambayo imeathiriwa vibaya na Tetemeko la Ardhi.KUlia kwake ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Tamisemi  Mhe.George Simba Chawene
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Tamisemi  Mhe.George Simba Chawene akizungumza na vyombo vya habari mara baada ya kutembelea shule ya sekondari ya Ihungo ambayo imeathiriwa vibaya na Tetemeko la Ardhi.Kushoto kwake ni Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mhe.Jenista Mhagama.
Wafanyakazi wa VETA wakiendelea na ubomoaji wa Shule ya Ihungo ambayo  inavunjwa na kujengwa upya kwa msaada wadau na Serikali baada ya kuathiriwa na tetemeko la ardhi la hivi karibuni Mkoani Kagera.

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx