Hivi karibuni Linah na Mpenzi wa Wema Sepetu Idriss Sultan wanaonekana kuwa na ukaribu usio wa kawaida kiasa kwamba inasemekana eti ni wapenzi wanapika na kupakuwa kitendo ambacho kinaonyesha ni kama kulipa kisasi kwa Wema....!! Haya Tuache Movie liendeleeee tutawajuza zaidi kinachoendelea.......