test

Jumanne, 6 Septemba 2016

Janga Kubwa Linalowatafuna Wasomi Wengi Tanzania ni Kutegemea vyeti Kama Mkombozi wao Kiuchumi


Janga kubwa linalowatafuna wasomi wengi ni kutegemea vyeti kama mkombozi wao kiuchumi; badala ya kutegemea uwezo wao kiakili. Ndio maana wakikosa ajira
wanachanganyikiwa na wakiwa ajirani wanachanganyikiwa zaidi kwa mishahara isiyotosha kutimiza ndoto zao. Ukienda shule nenda kwa mtazamo wa kupata maarifa ambayo hata kama vyeti vitakuwa kabatini; yatakufanikisha.

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx