test

Jumanne, 6 Septemba 2016

DIAMOND Platnumz Awashangaza Mashabiki Wake Tena Kwa Kuimba "Remix ya All The Way Up".MSIKILIZE HAPA


Diamond Platnumz amejiongezea aka zingine mpya, Jini na Vampire. Jumatatu hii aliachia kipande cha verse kwenye hit single ya Remy Ma na Fat Joe ‘All The Way Up’ kilichoyakuna masikio ya mashabiki wake.

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx