test

Alhamisi, 22 Septemba 2016

DIAMOND PLATNUMZ NI KIBOKO,BAADA YA SALOME AMEYASEMA HAYA


Mkali kutoka WCB Diamond Platnumz ameweza kuvunja rekodi yake mwenyewe aliyoiweka Miezi 2 iliyo Pita kupitia mtandao wa Youtube kupitia kibao chake "KIDOGO" alichowashirikisha P-SQUARE.Video ya wimbo "Salome" ya mkali wa muziki, Diamond Platnumz imefikisha views miloni 1 katika mtandao wa YouTube kwa kipindi cha siku mbili.


Video hiyo ambayo inaonyesha kufanya vizuri zaidi kwa muda mfupi, imevunja rekodi yake mwenyewe ya video yake ya wimbo ‘Kigogo’ ya kufikisha viewsmilioni 1 ndani ya siku 4.
Kupitia akaunti yake ya Instagram Diamond ameandika

And ANOTHER HISTORY WAS MADE!!!!!!!!... Last time we broke the African Record by getting 1 million views within 4 days through the song #KIDOGO ft P-SQUARE and today we Brake our Own record through #SALOME by getting 1 Million Views in ?????... Sema huu Mchezo wakati Mwingine Unahitaji Hasira ujue 
A photo posted by Chibu Dangote (@diamondplatnumz) on Sep 21, 2016 at 2:10am PDTMuimbaji huyo ni mmoja kati ya wasanii ambao video zao za muziki zinapata views wengi kupitia mtandao wa YouTube kwa muda mfupi.
Hii ni hatua nzuri kwa muziki wa Tanzania, kwani inaonyesha ni jinsi gani watanzania wameamka kusupport wasanii wao zaidi na pia wimbo huo umeweza kutabiriwa kuwa kati ya nyimbo ambazo zitaishi muda mrefu kutokana na mahadhi yake.

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx