HOSPITALI ya rufaa ya mkoa wa Iringa inakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa madaktari bingwa wa magonjwa ya watoto licha ya uwepo wa idadi kubwa ya matukio ya watoto changamoto kubwa ya magonjwa ya watoto hao ni yale ya njia ya hewa.
Na Ripota wetu kutoka Mkoani Iringa – Clement Sanga