Hawa ni Baadhi ya majeruhi waliojeruhiwa katika maafa ya tetemeko la ardhi mjini Bukoba wakipatiwa huduma ya kwanza mapema leo jioni nje ya hospitali ya mkoa huo baada ya wodi kujaa majeruhi habari zinasema mpaka sasa watu kadhaa wamefariki dunia. Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi xxxxxxxxxxxxx