Wapita njia wakitazama “maajabu” gari hili lililokuwa likitoka Mtongani kuelekea Mbagala jijini Dar es Salaam, likiwa limeacha njia na kuparamia kingo ya barabara lakini lakustaajabisha wengi gari hilo liliparamia kingo hiyo kwa nyuma kama inavyoonekana.
Majina ya Blog Zinazoanzia na Herufi I
Miaka 11 iliyopita