Mchekeshaji kutoka kwenye kundi la Original Komedi, Emmanuel Mgaya a.k.a Masanja
Mkandamizaji ambae August 14 2016 alifunga ndoa na mchumba wake aitwae
Monica ameifanya hiki kichekesho kifupi akiwa na MC pilipili akitoa
adhabu kwa wanaochelewa kuoa.
==> Tazama video hapo chini
==> Tazama video hapo chini