test

Alhamisi, 27 Agosti 2015

Mpoto atangaza Neema kwa Watanzania...


kutoka shambani
Nyota wa muziki wa Asili nchini, Mrisho Mpoto ametangaza neema ya nafasi za ajira kwa watanzania baada ya
hivi karibuni kutangaza mradi wake mpya wa kuanzisha Kijiji ‘Kutoka Shambani’.
Mrisho Mpoto ametangaza nafasi hizo za kazi kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa anahitaji msimamizi wa project yaani ‘Project Coordinator’ na mtu wa masoko ‘Marketing’ huku akitoa tarehe ya mwisho kutuma maombi kuwa ni August 30. Mpoto ameongeza kuwa maombi yote yawasilishwe kwa barua pepe kupitia kutokashamba@gmail.com yakiambatana na barua inayoeleza kwa nini unahitaji kuwa katika nafasi hizo.
Kwa maelezo zaidi piga 0789 243 399.

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi

xxxxxxxxxxxxx

0 comments:

Chapisha Maoni